WATOTO 14 WAISHIO MAZINGIRA HATARISHI MTAANI WAKUBALI KWENDA MAKAO YA WATOTO.

Na WMJJM-DODOMA Watoto waishio katika mazingira magumu kwenye Jiji la Dodoma wamemueleza Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, (Mb), madhila wanayokumbana nayo katika mitaa wanayoishi huku wakiiomba Serikali iweze kuwanusuru na maisha hayo kwa kuwa siyo kusudi lao kuishi hivyo.   Hayo yamejiri jana Januari, 17, 2022 Waziri